NECTA Form Six Physics 2 Past Paper 2026 (ACSEE)

NECTA Form Six Physics 2 Past Paper 2026 (ACSEE)

By Domiciani BaitaniMuuzaji aliyethibitishwa · Gold Verified

TZS 1,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala kamili ya mtihani halisi wa NECTA ACSEE 2026 – Physics 2 (131/2), kwenye PDF safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. ⚛️ Ndani ya PDF hii: maswali 6, jibu 5, kila swali alama 20 Fluid dynamics: Bernoulli's equation, critical velocity, lift ya ndege Waves & sound: Doppler effect, Young's double slit, thin films Kinetic theory of gases: ideal vs real gases, r.m.s speed Electrostatics & capacitors: charging/discharging, electric field & potential Electromagnetism: magnetic flux density, torque kwenye coil Atomic & nuclear physics: fission/fusion, X-rays, nuclear reactors, radioactive decay & half-life Ukurasa wa maelekezo (instructions) na constants muhimu (g, e, mₑ, h, ε₀, Nₐ) ✅ Kwa nini uchukue hii? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA na jinsi marks zinavyogawanywa Fanya mazoezi ya saa 3 kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6, private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) 📄 Muundo: PDF, kurasa 5 ⚡ Upatikanaji: Pakua papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa