Description
Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala kamili ya mtihani halisi wa NECTA ACSEE 2026 – Geography 2 (113/2): Human and World Economic Geography, kwenye PDF safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. 🌍 Ndani ya PDF hii: maswali 7, jibu 5, swali la 1 ni lazima, kila swali alama 20 Population: umuhimu wa population structure kwa maendeleo ya Tanzania; madhara ya overpopulation Agriculture: faida na hasara za organic farming Energy: biogas kama chanzo cha nishati kwa nchi zinazoendelea Manufacturing industry: mambo yanayoathiri location ya viwanda Fish farming: fursa za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania Forestry: thamani za kijamii na kiuchumi za misitu ✅ Kwa nini uipakue? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA (essay questions, "eight points") Fanya mazoezi ya saa 3 kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6 (HGL, HGK, HGE, PCB, CBG, EGM, n.k.), private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) 📄 Muundo: PDF, kurasa 2 ⚡ Upatikanaji: Pakua papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa