Description
Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala ya mtihani halisi wa NECTA ACSEE 2026 – Geography 1 (113/1), kwenye PDF safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. 🌍 Ndani ya PDF hii: maswali 7, jibu 5 Section A (40 marks): jibu 2, swali la 1 ni lazima Map reading & interpretation: grid reference, bearing, distance, relief, speed/time (Buseresere sheet 45/2) Statistics: measures of central tendency Photograph interpretation: aerial (vertical) photographs Section B (60 marks): jibu 3 Soil erosion: sababu za asili na athari zake "No rocks no life": umuhimu wa miamba Plate tectonics: mechanisms na causes za plate movements Ziwa Victoria: umuhimu kwa watu wanaoishi karibu ✅ Kwa nini uchukue hii? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA na jinsi marks zinavyogawanywa Fanya mazoezi ya saa 3 kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6 (HGL, HGK, HGE, PCB, CBG, EGM, n.k.), private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) ⚠️ Angalizo: Map extract ya Buseresere (sheet 45/2) haijajumuishwa kwenye PDF hii. 📄 Muundo: PDF, kurasa 2 ⚡ Upatikanaji: Pakua papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa