Description
Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala kamili ya mtihani halisi wa NECTA ACSEE 2026 – Economics 2 (151/2), kwenye PDF safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. 📊 Ndani ya PDF hii: maswali 8 Section A (20 marks): jibu yote Development strategies (qualitative & quantitative) SADC na sustainable economy Section B (40 marks): chagua 2 Income inequality: Lorenz curves, njia za kupunguza tofauti za kipato VAT: hesabu ya kodi, faida na hasara za VAT Tanzania Protectionism: madhara ya tariff (demand & supply diagram) Section C (40 marks): chagua 2 Banking: liquidity & profitability, essentials za banking system Agriculture: sababu za kubadilika kwa bei za mazao Tanzania Board of External Trade: mchango kwa uchumi wa Tanzania ✅ Kwa nini uipakue? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA na jinsi marks zinavyogawanywa Fanya mazoezi ya saa 3 kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6 (EGM, ECA, HGE, n.k.), private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) 📄 Muundo: PDF, kurasa 3 ⚡ Upatikanaji: Download papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa