Description
Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala ya mitihani halisi ya NECTA ACSEE 2026 – Biology, ikiwa kamili kwenye PDF moja safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. 📘 Ndani ya PDF hii: Biology 1 (133/1): Section A & B, maswali 10 (Cell biology, respiration, circulation, genetics, reproduction na mengine) Biology 2 (133/2): maswali 6, jibu 5 (Metamorphosis, genetics crosses, ecology/pyramid of energy, evolution – Lamarck na mengine) Biology 3A (133/3A) – Actual Practical A: Dissection, food tests, classification ya specimens ✅ Kwa nini uipakue? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA na jinsi marks zinavyogawanywa Fanya mazoezi ya muda (timed practice) kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6, private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) 📄 Muundo: PDF, kurasa 8 ⚡ Upatikanaji: Pakua papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa Jiandae mapema, faulu kwa uhakika – bongofey.com Note: The PDF has only the questions, no answers (marking scheme). That's why the descriptions don't promise answers.