Description
Unajiandaa na mtihani wa Kidato cha Sita? Hii ni nakala ya maswali ya NECTA ACSEE 2026 – Chemistry, Paper 1 na Paper 2, kwenye PDF moja safi na rahisi kusoma kwenye simu au kuprint. 🧪 Ndani ya PDF hii: Chemistry 1: Section A & B (Atomic structure, colligative properties, chemical bonding & VSEPR, chemical equilibrium, thermochemistry, gas laws, organic chemistry: halides, aromatic compounds, IUPAC naming) Chemistry 2: jibu maswali 5 (Steam distillation, ideal solutions & Raoult's law, solvent extraction, acids & bases, solubility product, pH, transition elements, organic reaction mechanisms, periodicity, extraction of metals, chemical kinetics, electrochemistry) ✅ Kwa nini uchukue hii? Ujue mtindo halisi wa maswali ya NECTA na jinsi marks zinavyogawanywa Fanya mazoezi ya muda (timed practice) kama siku ya mtihani Inafaa kwa wanafunzi wa Form 5 & 6, private candidates, na walimu wanaoandaa mitihani ya majaribio (mock) 📄 Muundo: PDF, kurasa 8 ⚡ Upatikanaji: Pakua papo hapo baada ya malipo kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au Halopesa