Description
BIASHARA YENYE FAIDA – 2026 Je, unataka kuanzisha biashara lakini hujui pa kuanzia? Au tayari una biashara na unataka kuongeza mauzo na faida? Kitabu hiki kimeandaliwa kukupa maarifa ya msingi ya kuanzisha, kusimamia na kukuza biashara kwa lugha rahisi ya Kiswahili. Ndani ya kitabu hiki utajifunza: Jinsi ya kuchagua biashara yenye fursa. Kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo. Kupanga matumizi na kusimamia mtaji. Kutofautisha mapato, gharama na faida. Kupata na kutunza wateja. Kuongeza mauzo na kukuza biashara. Makosa ya kuepuka katika biashara. Kitabu hiki kinafaa kwa: wanaoanza biashara, wafanyabiashara wadogo, vijana na watu wanaotaka kujiajiri. Aina: eBook (PDF) Lugha: Kiswahili Toleo: 2026 Mwandishi/Brand: Liam Business Prodigy Jifunze misingi ya biashara na anza kupanga hatua zako za mafanikio leo!