Description
Mshahara unakata tarehe 10? Biashara ipo pale pale? Unajua unatakiwa uanze kitu ila hujui wapi? MILIONI YAKO YA KWANZA kinakupa: - Biashara 30 za mtaji mdogo, na kila moja ina bei, faida na siri zake - Ramani ya elfu 50 mpaka milioni 1 - Njia 8 za kupata mtaji hata kama huna kitu - Jinsi ya kuuza kwa WhatsApp na TikTok - Mpango wa siku 90, wiki kwa wiki Elfu 28 ni ndogo kuliko hasara ya kosa moja tu la biashara. PDF, kurasa 48, unakipata hapo hapo. Lipa kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx au HaloPesa. Siku 90 zitapita tu. Zitakukuta na biashara, au na sababu?