Description
kitabu hiki ni muongozo wa namna mtu anaweza kuanzisha daycare kwa mtaji mdogo na akapata mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi endapo atazingatika kanuni za kitabu hiki kwani mwandishi ni mzoefu katika masuala ya daycare na ameshafungua daycare tisa mpaka sasa