TIN Mkononi: Sajili Biashara Yako TRA Mtandaoni Hatua kwa Hatua
BIASHARA 2 views 0.0/5 (0)

TIN Mkononi: Sajili Biashara Yako TRA Mtandaoni Hatua kwa Hatua

By HR Bongofey

TZS 1,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Umeanzisha biashara lakini kila unapoomba leseni, akaunti ya benki au zabuni unaulizwa TIN? Wengi huogopa mchakato wa TRA au hudanganywa na madalali wanaotoza pesa kwa huduma ambayo ni bure. Kitabu hiki kinakuonyesha jinsi ya kupata TIN yako mwenyewe, mtandaoni, ukitumia NIDA na simu yako. Ndani ya kitabu hiki utajifunza: TIN ni nini, kwa nini unaihitaji, na muda wa kisheria wa kuiomba Aina za usajili: mtu binafsi, biashara ya mmiliki mmoja (T/A), kampuni, ubia na vikundi Orodha kamili ya nyaraka kwa kila aina ya usajili Hatua kwa hatua za kujisajili kwenye TRA Taxpayer Portal kwa NIDA Jinsi ya kuunganisha biashara na TIN yako, na mahojiano ya makadirio ya kodi Tax Clearance na jinsi ya kupata leseni ya biashara Wajibu wako baada ya kupata TIN: risiti, ritani na kodi ya makadirio Changamoto za kawaida na suluhisho lake, makosa 10 ya kuepuka, na orodha ya ukaguzi

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Provide Skills You Know To Earn Passive Income

Join digital products industry.

Start Now