Description
BIASHARA YA MCHELE WA MBEYA Ungependa kuanza biashara ya mchele lakini hujui pa kuanzia? Kitabu hiki kitakupa mwongozo wa vitendo kuhusu upatikanaji wa mchele, mitaji, usimamizi wa fedha, masoko na changamoto za biashara ya mchele. Jifunze, anza na ukue kibiashara!