Description
Kitabu hiki ni mwongozo wa hatua kwa hatua unaokufundisha jinsi ya kutengeneza, kutangaza na kuuza bidhaa za kidigitali kama eBooks, PDF, kozi na templates. Utajifunza kupata wateja kupitia TikTok, Instagram na WhatsApp, kuweka bei, kupokea malipo na kuongeza mauzo. Hata kama unaanza bila uzoefu mkubwa, kitabu hiki kitakupa maarifa na mbinu za kuanza biashara yako ya kidigitali na kujenga chanzo cha kipato mtandaoni.