RIPOTI BORA YA MAFUNZO KWA VITENDO — Andika kwa Ujasiri, Pitisha kwa Alama za Juu!
Zote 12 views 0.0/5 (0)

RIPOTI BORA YA MAFUNZO KWA VITENDO — Andika kwa Ujasiri, Pitisha kwa Alama za Juu!

By HR Bongofey

TZS 1,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Baada ya kumaliza Mafunzo kwa Vitendo, kila mwanafunzi hutakiwa kuandika ripoti rasmi inayoathiri alama zake za mwisho — lakini wengi hukwama kwenye muundo sahihi na jinsi ya kuandika kila sehemu. Kitabu hiki kinakuonyesha muundo kamili unaokubalika na vyuo vingi Tanzania: jalada, tamko, shukrani, muhtasari, na sura nne kuu — Utangulizi, Shughuli Zilizofanyika, Changamoto na Mafunzo, na Hitimisho na Mapendekezo. Kila sura ina maelezo ya kina ya kile kinachotakiwa kuandikwa, pamoja na mifano halisi ya aya unazoweza kuziga na kuzibadilisha. Kinajumuisha pia vidokezo vya uandishi bora na makosa ya kawaida ya kuepuka (kama wizi wa mawazo na kutofuata mwongozo wa chuo). Kinafaa kwa wanafunzi wa vyuo vyote wanaokaribia au wanaomaliza mafunzo kwa vitendo.

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Provide Skills You Know To Earn Passive Income

Join digital products industry.

Start Now