Description
Mtoto wako anajua pesa inatoka wapi? Shuleni hawamfundishi. Ndiyo maana watoto wengi wanakua wakijua kutumia pesa, lakini hawajui kutunza, kuiwekeza wala kukuza Kitabu hiki kina hadithi 12 za kusisimua za Baraka, Neema, Kito, Zuri na wenzao - Watoto kama wa kwako Kupitia hadithi hizo, mtoto wako atajifunza bila kuona kama anasoma. Jinsi ya kuweka akiba, jinsi ya kuanzisha biashara ndogo, na jinsi ya kuwa na subira kama mkulima anavyosubiria mbegu iote. Hadithi moja kila siku, mazungumzo mazuri kila jioni. Tabia itakayodumu maisha yake yote. Usimpe mtoto wako pesa tu. Mpe mbegu