Kitabu cha Kujipima

Kitabu cha Kujipima

By HR BongofeyMuuzaji aliyethibitishwa · Blue VerifiedBlue Verified

TZS 7,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

✅ Mzazi na mwalimu wajue mtoto amefika wapi! 🔠 Majaribio 1–3: herufi kubwa, herufi ndogo, na kuunganisha kubwa na ndogo 🅰️ Jaribio 4: irabu 🔤 Majaribio 5–6: kusoma silabi, na silabi iliyopotea 📝 Majaribio 7–8: kusoma maneno, na kuunganisha neno na picha 💬 Jaribio 9: sentensi za kweli au si kweli 📖 Jaribio 10: ufahamu wa hadithi fupi ✍️ Majaribio 11–12: kunakili, na imla ya maneno na sentensi 📊 Chati ya matokeo: jaribio la kwanza sasa, la pili baada ya miezi 2–3 🧭 Nifanye Nini Baadaye?: ushauri kulingana na alama za mtoto 🔑 Majibu yote na orodha ya imla 🏆 Cheti: Niko Tayari Kusoma na Kuandika! 📈 Pima, fanya mazoezi, pima tena, na uone maendeleo!

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa