Description
🧠 Kusoma bila kuelewa si kusoma! 📖 Hadithi 12 zinazoongezeka ugumu kidogo kidogo, mfano Paka wa Neema, Soko la Jumamosi, Tembo na Panya, Safari ya Dar 🅰️ Swali la 1: chagua jibu sahihi ✅ Swali la 2: kweli au si kweli ✏️ Swali la 3: jaza neno linalokosekana 💭 Swali la 4: fikiri na ueleze kwa maneno yako 🔑 Majibu yote ya maswali 1–3 yako mwishoni 🏆 Cheti cha pongezi 📝 Maandalizi bora ya maswali ya ufahamu shuleni!