Description
Karibu ununue Kitabu Hiki ambacho kitakupa mwongozo wa kukusaidia kupunguza uzito bila madhara kwa kutumia vyakula tu kwa siku saba za wiki,na kitabu hiki kimeandikwa kwa msaada wa AI ambayo imeonyesha na kuchambua kikamilifu namna bora ya kuwasaidia watu mbalimbali wenye lengo la kupunguza uzito bila madhara. ANGALIZO:- Kitabu hiki hakihusiani na ushauri wa daktari wala mtaalamu wa Afya kwa ajili ya matibabu hivyo unapohitaji ushauri wa kitaalamu au wa Afya fika hospitali muone mtaalamu wa afya ambaye ni daktari au nesi.