Description
Moyo Unaopenda Sana Huumia Sana ni kitabu cha kipekee kinachokufundisha jinsi ya kupenda kwa dhati bila kupoteza thamani yako, furaha yako, na amani ya moyo wako. Kama umewahi kuumizwa, kusalitiwa, kutumiwa, au kujikuta unampenda mtu kupita kiasi mpaka unajisahau — kitabu hiki ni kwa ajili yako. Ndani yake utajifunza jinsi ya kutambua red flags, kuweka boundaries, kujithamini, kupona maumivu ya mahusiano, na kuchagua mtu sahihi bila kuingia kwenye mzunguko wa maumivu tena. Ni zaidi ya kitabu — ni mwongozo wa kuponya moyo wako na kurudisha thamani yako. Pata nakala yako ya PDF sasa.