SUCCESS CODES ZILIZOFICHWA

SUCCESS CODES ZILIZOFICHWA

By Johnbosco Ngailo

Price Increase Soon
Only 20 copies left before price increases to TZS 5,000. Secure yours now.

TZS 3,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Tangu ukiwa mdogo ulifundishwa kusoma sana, kupata alama kubwa, kisha kutafuta kazi nzuri. Lakini hakuna aliyekufundisha jinsi ya kuwa TAJIRI. Hakuna aliyekufundisha jinsi ya kutawala maisha yako SUCCESS CODES ZILIZOFICHWA ni kitabu kitakachokufungua macho, ndani yake utagundua Siri 7 zilizofichwa na mfumo wa shule kwa nini waliofeli darasani wengi wao leo ni matajiri kuliko waliofaulu Jinsi ya kutoka kwenye utumwa wa mshahara na kuanza kujenga ufalme wako Kama umechoka kuishi kwa kuomba kazi, kuishi kwa hofu, na kuishi maisha ambayo si yako... Kitabu hiki ni kwa ajili yako Soma, Amuka, Unda, Tawala Usisubiri kuruhusiwa, Anza leo

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa