Siri 7 za kumlinda mtoto na ukatili

Siri 7 za kumlinda mtoto na ukatili

By Anastazia Donald

TZS 5,000

Description

JE MTOTO WAKO AKIKUTANA NA HALI HATARISHI, ATAJUA CHA KUFANYA? Kumwambia mtoto “jilinde” peke yake haitoshi. Mzazi anahitaji kujua nini cha kumfundisha, namna ya kumfundisha na nini cha kufanya au kutofanya 📖 NDANI YA KITABU HIKI UTAPATA: 1. SIRI 7 MUHIMU za kumfundisha mtoto kuhusu kujilinda dhidi ya ukatili 2. MWONGOZO WA SIKU 7 wenye hatua za kufuata siku hadi siku katika kumfundisha mtoto 3. NAMNA YA KUMFUNDISHA MTOTO kwa lugha rahisi anayoielewa na kuitumia 4. NINI CHA KUFANYA NA NINI CHA KUTOFANYA unapomfundisha mtoto kuhusu usalama KITABU HIKI NI KWA AJILI YA NANI? Wazazi/Walezi Walimu Mtu yeyote anaehusika na Malezi na Ulinzi wa Mtoto KWANINI UKINUNUE? 1.Mtoto hafundishwi kama mtu mzima. Mwongozo huu utakusaidia kujua namna ya kuzungumza na mtoto kuhusu usalama kwa njia rahisi na ya vitendo. BEI Tsh.5,000/= Tu.

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa