Description
KITABU KIPYA KIMEWADIA! NDOA YANGU, MACHOZI YANGU Riwaya ya maisha, maumivu na kujitambua. Je, umewahi kujiuliza kwa nini mtu unayempenda anaweza kuwa chanzo cha maumivu yako? Soma simulizi ya Amina, mwanamke anayepitia changamoto za kihisia ndani ya ndoa na kuanza ya kujitambua