Description
Unatamani kupendwa kwa dhati? ๐ Kitabu hiki hakikufundishi kubembeleza wala kujifanya mtu mwingine. Kinakufundisha kujijenga ili upendo wa kweli ukuvutie wenyewe: ๐ Kujipenda na kujiamini kwanza ๐ Tabia 10 zinazomfanya mtu apendwe โจ Kujitunza na kung'ara bila gharama kubwa ๐ฌ Maneno na usikivu unaogusa moyo ๐ซ Makosa yanayofukuza upendo bila wewe kujua ๐ฏ Jinsi ya kuvutia mtu sahihi ๐ Changamoto ya siku 21 ya kubadilika Kuwa mtu ambaye ungependa kumpenda. ๐น