FORM FOUR NECTA

FORM FOUR NECTA

By Meshack MwendaMuuzaji aliyethibitishwa · Blue Verified

TZS 2,500

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

KIBOKO CHA NECTA – FORM FOUR EXAMINATION MASTER GUIDE Mwandishi: Meshack Unajiandaa na mtihani wa NECTA Form Four? Kiboko cha NECTA ni mwongozo wa kujifunzia uliotengenezwa kumsaidia mwanafunzi kuelewa masomo, kufanya marudio na kujiandaa vizuri kwa mitihani. Ndani ya kitabu hiki utapata: - Muhtasari wa masomo mbalimbali ya Form Four. - Maelezo ya mada muhimu kwa ajili ya marudio. - Vidokezo vya kukusaidia kuelewa masomo. - Mbinu za kujisomea na kujiandaa na mitihani. - Mpango wa kujipanga katika maandalizi ya NECTA. Lengo la kitabu: Kumsaidia mwanafunzi kuongeza uelewa, kujiamini na kufanya maandalizi bora ya mtihani. Usisubiri mpaka siku za mwisho za mtihani. Anza maandalizi yako mapema! KIBOKO CHA NECTA – JIFUNZE KWA BIDII, FAULU KWA UHAKIKA! Mwandishi: Meshack

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa