BINTI TEMBEA NA YESU

BINTI TEMBEA NA YESU

By Mithali peter

Price Increase Soon
Only 50 copies left before price increases to TZS 10,000. Secure yours now.

TZS 7,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

🌸 BINTI TEMBEA NA YESU Mwongozo wa siku 21 wa kumkaribia Mungu, kuimarisha imani na kubadilisha maisha yako kupitia Neno la Mungu na maombi. Binti Tembea na Yesu ni kitabu maalumu kilichoandaliwa kumsaidia kila binti kujenga uhusiano wa karibu na Mungu, kuimarisha maisha yake ya kiroho na kujifunza kumtegemea Yesu katika kila hatua ya maisha. Kupitia mwongozo huu wa siku 21, utajifunza namna ya kuomba, kusoma Neno la Mungu, kuimarisha imani yako na kumkabidhi Mungu changamoto zako. 🌷 Kitabu hiki kitakusaidia: 1. Kumkaribia Mungu na kujenga uhusiano wa karibu na Yesu. 2. Kuomba kibali na neema ya Mungu. 3. Kuomba uponyaji wa moyo na kuachilia maumivu ya zamani. 4. Kuomba kufunguliwa katika uchumi na kupata mafanikio. 5. Kumkabidhi Mungu ndoto, biashara na mipango yako. 6. Kuombea ndoa yako ya baadaye na kupata mwenzi anayemcha Mungu. 7. Kuvunja tabia zisizompendeza Mungu na kuishi maisha ya utakatifu. 8. Kuimarisha imani na kujifunza kusubiri majibu ya Mungu. 9. Kuomba ulinzi, hekima na uongozi wa Mungu. ❤️ Ndani ya siku 21 utapata: Somo la kiroho la kila siku. Vifungu vya Biblia vya kutafakari. Maombi maalumu ya kila siku. Tamko la imani. Mwongozo wa kujitathmini kiroho. 🌺 Ujumbe kwa kila binti Usikubali maisha yakufanye umsahau Mungu. Usisubiri uwe na kila kitu ndipo umtafute Yesu. Mtafute katika furaha, machozi, mafanikio, changamoto na hata wakati ambao hujui kesho yako ikoje. Tembea na Yesu, kwa sababu pamoja naye safari yako ina tumaini, kusudi na uzima. "Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi." Yakobo 4:8 Binti, huu ni wakati wako wa kurudi kwa Mungu, kuimarisha imani yako na kuanza safari mpya pamoja na Yesu. 🌷

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa