Sio Sababu ya Kuvunja

Sio Sababu ya Kuvunja

By Dennis Akili

TZS 9,999

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 30.00%). Join our Affiliate Program
Description

Kutojua sheria si sababu ya kuvunja sheria. Hii ni kanuni muhimu katika mfumo wa kisheria, ambapo mtu hawezi kuvunja sheria kisha akajitetea kuwa hakujua kwamba kitendo alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria. Mzee Majanida, akiwa miongoni mwa wazee wa chama cha siasa katika mji wa Kilongelea, anapanga na wazee wenzake kuhakikisha kwamba Bw. Kipaumbele anapata nafasi ya kuongoza jimbo la Kilongelea tena. Mipango ya wazee wa chama hiki ilisababisha uvunjifu wa haki na sheria katika uchaguzi wa wabunge katika nchi hiyo, pamoja na vifo vya watu wasio na hatia katika mji huo.

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa