Mimi Ni Nani

Mimi Ni Nani

By Florence Mukirya

TZS 10,000

Promote & Earn!
Earn commission on every referral sale (up to 10.00%). Join our Affiliate Program
Description

Je, umewahi kujikuta umepoteza mwelekeo wa maisha, ukasahau wewe ni nani hasa, au ukaishi maisha ambayo hayaakisi wewe halisi? Mimi ni Nami ni kitabu kilichoandaliwa kwa ajili ya mtu anayetamani kujitambua upya, kugundua utambulisho wake na kurejesha sehemu za nafsi yake ambazo huenda zimepotea katika safari ya maisha. Kupitia kitabu hiki, utapata nafasi ya kujichunguza, kuelewa wewe ni nani, kutambua uwezo, vipawa na thamani yako, pamoja na kurejesha utambulisho wako ili uweze kuishi kwa ufahamu na kusudi. Hiki si kitabu cha kukusaidia kujijua tu; ni mwaliko wa kurejea kwako mwenyewe na kuanza kuishi maisha yanayoakisi wewe ni nani hasa. Mimi ni Nami — safari ya kujitambua na kurejesha utambulisho wako.

Share this product
Customer Reviews
Average 0.0/5 from 0 approved review(s).
Share your experience
No approved reviews yet.

Geuza Ujuzi Wako Kuwa Kipato cha Kudumu

Jiunge na tasnia ya bidhaa za kidigitali.

Anza Sasa