Description
💼 SMS za kumkumbusha upo, bila kumtoa kwenye kazi zake 🌞 Salamu za asubuhi zisizo na swali, zenye baraka tu 🤍 Maneno ya kumtia moyo kimya kimya 📜 Barua fupi za shukrani zisizohitaji sababu 🎞️ Kumbukumbu ndogo za kumrudisha kwenye furaha yenu 💬 Matamko ya moyo, na SMS za usiku mwema zisizomdai kitu ✅ Siri ya mapenzi yaliyokomaa yasiyosema nijibu