Description
Biashara ya mchele wa Mbeya, jinsi ya kupata faida na kutatuta changamoto. Kama unapenda hii biashara na unatamani kufanya kwa uhakika na kujihakikishia faida upo sehemu sahihi. Fahamu changamoto zinazojitokeza na jinsi ya kuzitatua. Kama unafanya biashara hii kwa muuzaji wa jumla na msambazaji jiongezee maarifa hapa