Ignas
Mwandishi kwenye Bongofey

Ignas

Mwandishi wa vitabu SIRI YA SAA 24, SAFARI YA NYENDO, KIJANA NA FURSA na RECOGNITION OF WOMEN’S UNPAID WORK AS A STRATEGY FOR POVERTY ALLEVIATION
Alijiunga Novemba 2026 Vitabu 2 Mpanda

Kuhusu Ignas

Ni mwandishi wa vitabu SIRI YA SAA 24, SAFARI YA NYENDO na RECOGNITION OF WOMEN’S UNPAID WORK AS A STRATEGY FOR POVERTY ALLEVIATION, mtaalamu wa maendeleo ya jamii, mshauri na mkufunzi. Amekuwa akishirikiana na taasisi, asasi na wadau mbalimbali kutafuta ufumbuzi wa changamoto za kijamii na kiuchumi, zikiwemo malezi, ajira na mitaji. Anajishughulisha na uandishi wa vitabu na nyaraka za kitaalamu, pamoja na kutoa mafunzo na ushauri katika ujasiriamali, ubunifu, kujiajiri, uwezeshaji wananchi kiuchumi na maendeleo endelevu.
Anashirikiana na kampuni, taasisi, mashirika na watu binafsi katika uandishi, mafunzo, ushauri na utekelezaji wa mipango ya maendeleo yenye tija. Dhamira yake ni kutumia maarifa na ubunifu kuchochea mabadiliko chanya na kujenga jamii yenye uwezo wa kujitegemea.

Vitabu vya Ignas

eBook
KIJANA NA FURSA
TZS 1,000 Nunua
eBook
SIRI YA SAA 24
TZS 5,000 Nunua
Showing 1–2 of 2 vitabu
Shiriki duka la Ignas
Mwambie rafiki — tuma kiungo kwa WhatsApp au mitandao ya kijamii.