KALAMU YA MAISHA
Mwandishi kwenye Bongofey

KALAMU YA MAISHA

“Kila Hadithi Ina Siri, Kila Siri Ina Maisha.” ❤️📚
Alijiunga Oktoba 2026 Vitabu 2 Dar es salaam

Kuhusu KALAMU YA MAISHA

KALAMU YA MAISHA ni jina la uandishi linalosimulia hadithi za mapenzi, siri, usaliti na changamoto za maisha. Kupitia kila simulizi, nalenga kugusa mioyo, kuamsha fikra na kutoa nafasi ya kutafakari maisha kwa mtazamo tofauti.

KALAMU YA MAISHA — Kila Hadithi Ina Siri, Kila Siri Ina Maisha. 🖋️📖

Vitabu vya KALAMU YA MAISHA

Showing 1–2 of 2 vitabu
Shiriki duka la KALAMU YA MAISHA
Mwambie rafiki — tuma kiungo kwa WhatsApp au mitandao ya kijamii.